Video

Music Video | Music Audio: Kambua – Mwaminifu

Kutoka jijini Nairobi Kenya, leo nimekuletea video ya wimbo uitwao ”Mwaminifu” kutoka kwa mwimbaji mwenye sauti ya kipekee anayefahamika kwa jina la Kambua Muziki, video hii imeongozwa na director mahiri kutoka jijini Nairobi anayefahamika kwa jina la J Blessing na wimbo ukiwa umetayarishwa na mikono ya prodyuza Saint P.

”MWAMINIFU, ni wimbo unaowakukumbusha watu uaminifu wa Mungu, ambao huvumilia wakati wote.
Tumaini langu juu ya wimbo huu ni kwamba mioyo ya watu wa Mungu itainuliwa na kupata kuamka na kumshangaza Mungu kwa utukufu!.” – Kambua Muziki

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakwenda kukupa tumaini jipya na kukuinua. Karibu!!

Download Audio

Social Media
Facebook page: Kambua
Instagram: @kambuamuziki
Twitter: @kambua

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Godwill Babette - Egemeo (Moyo Wangu)

Next post

Audio Music: Dona JR. Feat John Lihawa, Sunday Mkweli, Gazuko, Bishop Abra, SirMbezi, Miriam Jackson - Sihitaji Refa