Video

Music Video | Music Audio: Joyce Omondi – Lihimidi jina lake

Kutoka jijini Nairobi Kenya leo nimekuleta video nzuri na yenye kubariki sana ya wimbo uitwao Lihimidi jina lake kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili Joyce Omondi ambaye kwasasa amekuja na zawadi ya kipekee ya ikiwa ni wimbo wa kwanza kutoka kwenye albamu yake ya pili iitwayo ”Spirit Vs Soul” video hii imengozwa na director anayefahamika kwa jina la Trey Juelz na wimbo ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Dominic Khaemba.

”Ni ushuhuda wa upendo wa Mungu unaoendelea na huruma kwetu na kukumbusha kwamba hatupaswi kuogopa kumpa sifa zote na sifa ambayo ni kwa ajili yake.

Zaburi 103: 1-2
Bariki Bwana, Ee nafsi yangu;
Na vyote vilivyo ndani yangu, baribariki jina lake takatifu!
Bariki Bwana, Ee nafsi yangu,
Na usahau faida zake zote.”

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakwenda kukubariki. Karibu tumsifu Mungu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na mwimbaji Joyce Omondi kupitia:
Instagram: @joyceomondi
Facebook: Joyce Omondi
Twitter: @joyceomondi

LYRICS:
Verse 1:
Mashariki na magharibi, haziwezi kutana (As far as the east is from the west)
Hivyo ndivyo uliweka dhambi zangu mbali nami (That’s how far you’ve removed my sins from me)
Waukomboa uhai wangu, wanisamehe (You redeem my life, you forgive me)
Tena wanivisha taji ya upendo wako (And still crown me with your love)

Pre-chorus:
Nisemeje, nikupe nini? (What can I say, what can I give you?)

Chorus:
Ee nafsi yangu umhimidi Bwana, (Bless the Lord oh my soul)
usisahau fadhili zake zote (And forget not all His benefits)
Lihimidi Jina Lake takatifu (Bless His holy name)

Verse 2:
Kweli Baba we umwema, uinuliwe (Lord you’re truly good, be lifted up)
Kwa ajili ya neema na fadhili zako (For your grace and kindness)
Jina lako litukuzwe leo na milele (May your name be exalted today and forever)
Maana huliganishwi ,Baba na yeyote (For You, Lord, cannot be compared to any other)

Pre-chorus:
Nisemeje, nikupe nini? Ila sifa (What can I say? What can I give you other than praise?)

Chorus:
Ee nafsi yangu umhimidi Bwana, (Bless the Lord oh my soul)
usisahau fadhili zake zote (And forget not all His benefits)
Lihimidi Jina Lake takatifu (Bless His holy name)

Bridge:
Upendo wako umenizunguka (Your love surrounds me)
Neema zako zimenipandisha (Your grace lifts me)
Hallelujah, Jina lako ni kuu (Hallelujah, Your name is great)
Kwa nguvu zako bado nasimama (By your strength I still stand)
Amani na furaha umenipa (You have given me peace and joy)
Hallelujah, jina lako ni kuu (Hallelujah, Your name is great)

Chorus:
Ee nafsi yangu umhimidi Bwana, (Bless the Lord oh my soul)
usisahau fadhili zake zote (And forget not all His benefits)
Lihimidi Jina Lake takatifu (Bless His holy name)

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Audio Music: Felista Gabriel Kiduu - Ninalindwa na Nguvu za Mungu

Next post

Audio Music: Dr. Tumaini Msowoya - Hakuna Matata