Videos

Music Video | Music Audio: Imani Zacharia – U Sababu

Bwana Yesu asifiwe mwana wa Mungu! kwa mara nyingine tena leo nimekusogezea video nzuri ya wimbo wenye kubariki sana moyo wako uitwao U sababu kutoka kwa mwimbaji Imani Zacharia, video ya wimbo huu imeongozwa na director mahiri wa video nchini Tanzania anayefahamika kwa jina la Einxer.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kuitazama video hii nzuri ikiwa imebeba hisia kali za kiroho na muziki zitakazokufanya umtafakari Mungu kwa kiwango cha hali ya juu zaidi na hakika utabarikiwa sana kila utakapokuwa unausikiliza wimbo huu. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko wasiliana na mwimbaji Imani Zacharia kupitia
Simu/WhatsApp: +255 714 953 555
Facebook: Imani Zacharia
Instagram: @imanizacharia

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

'Nataka Kufanya Mapenzi ya Mungu' - Harry Connick Jr. Akiri Imani Yake.

Next post

Audio Music: Jordan Ngassa - Umeinuliwa