Video

Music Video | Music Audio: Benachi – Hallelujah

Kutoka kwa mwimbaji wa Nyimbo za Injili kutoka jijini Nairobi Kenya leo nimekuwekea video ya wimbo wake uitwao Hallelujah, Video ikiwa imeongozwa na Lieutenant Films na wimbo ukiwa umeandaliwa na prodyuza Majic Mike.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama na kupakua wimbo huu mzuri. Karibu!!


Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Benachi kupitia
Facebook: Benachi Mwanake
Instagram: @benachi
YouTube: Benachi Kenya
Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Music Audio: Vanesa Kasoga - Tangulia

Next post

Video | Audio: Godwill Babette - Egemeo (Moyo Wangu)