Video

Music Video | Audio Music: Tina Campbell – We Livin

Kutoka kwenye albamu yake mpya iitwayo “It’s Still Personal” aliyoiachia hivi karibuni mwimbaji Tina Campbell kutoka nchini marekani ameachia video yake itwayo We Livin ikiwa ni muendelezo wa kuitangaza albam hiyo ambayo kwasasa ipo sokoni. Video hii imeongozwa na director Derek Blanks.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kuitazama na kupakua wimbo huu. Karibu!

Download Audio
Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio Music: Solomon Plate - For Me

Next post

Ninawezaje Kudhibiti Matumizi Yangu ya Pesa? Soma hii Itakusaidia.