Music

Music Audio: Sylvia Feat Soltune – My Time

Shalom mwana wa Mungu leo kupitia blog yako pendwa ya gospomedia nimekuwekea wimbo mzuri uitwao ”My Time” ukiwa ni moja ya nyimbo za Injili za kisasa kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za injili na mwenye ujuzi mkubwa wa sauti anayefahamika kwa jina la Sylvia akiwa amemshirikisha mwimbaji Soltune kutoka nchini Nigeria. wimbo ukiwa umetengenezwa na prodyuza Stansteel.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu na hakika utakuwa baraka katika siku yako ya leo. Karibu!!

Download Audio

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Hizi ndizo nyimbo kumi bora za muziki wa injili zilizofanya vizuri mwezi wa nane 2017

Next post

Official Audio Music: Rhoda Itenya - Funguka