Audio

Music Audio: Richard Petro – Hashindwi

Mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili kutoka jijini Dar es salaam anayefahamika kwa jina la Richard Petro amekuletea wimbo wake mpya uitwao Hashindwi, wimbo huu umetayaarishwa ndani ya studio za Shalom.

Wimbo huu ni moja ya wimbo unaopatikana kwenye albamu yake mpya inayotarajiwa kuachiwa Tarehe 19 Nov 2017 katika ukumbi wa kanisa la FPCT Mbagala, Mbande ikiwa na mkusanyiko wa nyimbo tano katika mfumo wa Audio CD.

Akiongea na gospomedia.com amesema kuwa uzinduzi wa albamu hii utawajumuisha waimbaji kadhaa wa nyimbo za Injili akiwemo Christopher Mwahangila, Aniseti Butati, Sifaeli Mwabuka, Rebecca Mabala, Jennifer Makala, Debora Kihanga na Lameck Kibubu. Hivyo ametaka wakazi wa jiji la Dar es salaam na mikoa yote ya jarani kufika kwenye uzinduzi huo ili kuweza kumpa sapoti katika kusindikiza album hiyo ambayo anasema ni hakika itakwenda kuwahudumia watu wengi katika roho na kweli maana Bwana hashindwi jambo.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu. Barikiwa!

 

Download Audio

Kwa maelekezo zaidi kuhusu uzinduzi wa albam hii na mialiko wasiliana na mwimbaji Richard Petro kupitia:-
Simu/WhatsApp: +255 787 173 340
Facebook: Richard Petro
Instagram: @richardpetro
Youtube: Richard Petro

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio Music: Pompi - Kapena

Next post

Audio Music: Hezekiah Rubete - Ushukuriwe