Audio

Music Audio: Michael King – I just Wanna Praise

Michael Kelechi Agu anajulikana kama Michael King ni mwimbaji wa Injili mwenye vipaji kutoka nchini nigeria ambaye leo tumekuwekea wimbo mpya uitwao ”I just Wanna Praise”

Toka angali mdogo mwimbaji huyu alikuwa akihudumu katika kwaya ya kanisa na mpaka kufikia mwaka wa 2008 alianza kazi zake rasmi akiwa ni mwimbaji binafsi na sasa yupo mbioni kuachia albamu yake ya kwanza iitwayo MIRROR na wimbo huu ukiwa ni moja kati ya kazi zitakazopatikana kwenye albamu hiyo.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakwenda kukubariki. Karibu!!

Download Audio

Social Media
Facebook: Michael King | Twitter: @mikekinga72 | Instagram: @mikekinga72 |

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Music Audio: Benny William - Wa Ajabu

Next post

Audio Music: Judith Kanayo - Satisfied