Music

Music Audio: Isioma – Only You

Mwimbaji anayefanya vizuri sana kutoka nchini nigeria Femcee Isioma ameachia wimbo wake mzuri sana uitwao Only You, ukiwa umetengenezwa ndani ya studio za Lamp House chini ya mikono ya prodyuza Don L37.

Wimbo huu unatusaidia kutafakari juu ya uzuri wa Mungu, pia kutufundisha kumtegemea Bwana wetu Yesu Kristo, kwa sababu yeye peke yake ndiye mwenye kibali cha mabadiliko yanayohitajika katika maisha yetu.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika kama wewe ni mpenzi wa mitindo ya muziki wa R&B, Hip-Hop na Trap utaupenda wimbo huu. Karibu upokee ujumbe huu na ubarikiwe!!

 

Download Audio

Social Media
Facebook:Isioma Nwabuoku | Instagram:@isiomanwabuoku | Twitter: @isiomanwabuoku

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Audio Music: Jordan Ngassa - Umeinuliwa

Next post

Audio Music: Yvonne – Miracle