World Gospel Music

Kutoka Nigeria: Download Music Audio: Testimony – My God

Kutoka jijini Abuja nchini nigeria huyu ni muimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Testimony na huu ni wimbo wake mpya uitwao “My God” uliotayarishwa na producer anayefahamika kwa jina la Dr.Simmy.

Mwimbaji Testimony ni mmoja kati ya waimbaji wenye uwezo mkubwa wa kuimba na kuandika na mara nyingi huwa anatumika kwenye nafasi ya kuongoza nyimbo za kuabudu, kupitia wimbo wake huu mpya wa “My God” amegusia zaidi juu ya ushuhuda wa maisha yake na faida za kuwa karibu na Mungu katika maisha yake ambako kumemfanya kuwa mahali ambapo hakuwahi kufikiria kama angefika.

gospomedia.com inakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu na hakika utabarikiwa sana. Karibu!

Download Audio

Mawasiliano:

Twitter: @Testimony_01
Instagram: Official_testimony

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Kutoka Nigeria: Download Music Audio: Gladys Chabor - I'am Shining Now

Next post

Download Music Audio: Elandre Feat Nelly Music - Hope Alive