World Gospel Music

Kutoka Nigeria: Download Music Audio: Gladys Chabor – I’am Shining Now

Kutoka nigeria leo kupitia blog yako pendwa ya gospomedia.com tumekuwekea wimbo mpya uitwao “I’am Shining Now” kutoka kwa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Gladys Chabor wimbo huu umetengenezwa na producer aliyewahi kushinda tuzo bora ya mwaka akifahamika kwa jina la Kelly Lyon (#SpiritualBeatz). karibu usikilize na kupakua wimbo huu na hakika utabarikiwa sana.

Download Audio

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Download Official Music Audio: Elvis Kiwanga - The Word (Neno)

Next post

Kutoka Nigeria: Download Music Audio: Testimony - My God