Habari

Kitabu cha Mwanamke wa Agano Sasa Kinapatikana Madukani Rasmi.

Kile kitabu kilichokuwa kinasubiriwa kwa shauku kubwa kiitwacho “Mwanamke wa Agano” kutoka kwa mwandishi mahiri wa vitabu Upendo Seni sasa kipo madukani rasmi.

Akiongea na gospomedia.com mwandishi Upendo Seni amesema kuwa Mwanamke wa Agano ni kitabu kilichobeba maudhui ya kumgusa kila mwanamke mwenye nia thabiti ya kubadili na kuboresha mahusiano yake na Mungu, Kumlenga kila mwanamke aliye tayari kulilinda na kulitetea Agano lake na Mungu (KUSUDI), Kumgusa Kila mwanamke aliye tayari kuishi kama vile Mungu alivyomkusudia katika familia yake, jamii na Ufalme wa Mungu. Hiki ni kitabu pekee kinachompa mwanamke njia za kuweza kumsaidia kufanikiwa katika eneo zima la KUWA MWANAMKE WA AGANO.

Upendo Seni pia ameongeza kuwa kitabu hicho kitakuwa kinapatikana kupitia mawakala mbalimbali ambao wanasambaza kitabu hicho na kukufikishia mahala popote ulipo kwa gharama ya Tsh.5000/- tu. Hivyo kwa yeyote anayehitaji nakala ya kitabu hiki anaweza kuwasiliana na mawakala hawa wafuatao:

Wakala – Neema Mawenya – Mazimbu Morogoro – +255 672 282 728

Wakala – Agatha – Bwaya Arusha/ Moshi/ Singida – +255 756 795 969

Wakala – Hilalia Philipo – Dodoma – +255 763 666 702

Wakala – James Marx – Mwanza – +255 765 432 662

Wakala – Denis Kisitu – Iringa – +255 759 735 473

Wakala – Debora Mwangoka – Gairo – Dodoma – +255 769 055 556

Wakala – Jane Lucas – Singida – +255 757 687 188

Wakala – Violeth Bura – Tabora – +255 715 503 940

Wakala – Asimwe Bulahura – Dar – Ubungo- +255 786 620 407

Wakala – Samsoni Msonga – Temeke -Dar – +255 713 280 038

Wakala – pendo Seni – Ilala – Dar – +255 752 132 585

Wakala – Donanciano Shitundu – Dar – Kinondoni – +255 686 656 439

Wakala – Secy Charles – Dar – Kigamboni – +255 769 025 650

Wakala – Barickelly – Dar – +255 753 814 355

Wakala – Vicent Joseph – Tanga – +255 762 885 373

Wakala – Willson Joseph – Bunda +255 754 335 329

Wakala – Africa Success Business Center – +255 756 094 875

Upendo Seni – Mwandishi wa vitabu.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na mwandishi Upendo Seni kupitia:
Simu/WhatsApp +255 752 132 585
Facebook: Upendo Seni
Instagram: @upendo_sen

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Download Audio: Mr.Mike & Hype Burton - Nakupenda

Next post

Hizi Ndizo Video Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi wa Saba. Hizi Hapa.