Gospo Media ni taasisi inayojihusisha na utoaji wa huduma ya habari na matangazo lengo likiwa ni kusaidia jamii, taasisi, makanisa, mashirika, watu binafsi kupata huduma bora ya habari na matangazo.

Huduma zinazotolewa na gospo media ni pamoja na Habari, upigaji picha za aina mbalimbali, Kurekodi na kutengeneza video za aina mbalimbali, kurekodi matukio mbalimbali, kutengeneza graphics design za aina mbalimbali, kutengeneza matangazo ya redio na televisheni, kufanya promosheni ya muziki, matukio na matangazo, kurekodi vipindi vya redio na televisheni n.k

Gharama zetu ni nafuu sana karibu tukuhudumie katika kiwango bora na kwa kuzingatia muda, Tupo kwa ajili yako.

Kwa maelezo zaidi kuhusu huduma za gospomedia na gharama zake wasiliana nasi kupitia:

Simu: +255 658 293 696, +255 679 433 323
WhatsApp: +255 755 038 159
Facebook page: GOSPO MEDIA
Instagram: @gospomedia
Twitter: @gospomedia
Email: gospomedia@gmail.com

Ofisi zetu zinapatikana Karikoo mtaa wa Tandamti na Kongo Dar es salaam, Tanzania. Karibu sana.