Kumi Bora

Hizi Ndizo Video Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi wa Saba. Hizi Hapa.

Kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuweka tayari video kumi bora zilizofanya vizuri zaidi mwezi wa saba, 2017. video hizi zimefanikiwa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora ya gospomedia.com kwa vigezo mbalimbali vya ubora wa video hizi na idadi ya watu walioweza kuzitazama nchini Tanzania mara baada ya kupandishwa kwenye tovuti ya gospomedia.com na channel zao za Youtube.

1.Goodluck Gozbert – Shukurani

Download Audio

2. Janet Otieno – Shuka

Download Audio

3. Mess Jacob – Mwacheni Mungu

Download Audio

4. Lecrae feat. Tori Kelly – I’ll Find You

Download Audio

5. Evelyn Wanjiru & Tembalami – Sawa

Download Audio

6. Laura Abios – You Do Well

Download Audio

7. Annoint Essau Amani – Kuna Nini Afrika

Download Audio

8. Eddah Mwampagama – Ni Salama

Download Audio

9. Minister Ladi – You Are Glorious

Download Audio

10. Size 8 Reborn – I Can`t Imagine

Download Audio

Video hizi zimefanikiwa kupata nafasi ya kuingia kwenye mchakato wa Tuzo za Gospo (Gospo Awards) zinazotarajiwa kutolewa na gospomedia 2018.

Uongozi na timu kazi ya gospomedia.com inatoa pongezi kwa wanamuziki na waimbaji wote ambao video zao zimefanikiwa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora kwa mwezi wa saba 2017, Baraka nyingi pia ziwafikie wadau na watu wote waliowezesha video za waimbaji hawa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora… Barikiwa.!!

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram> @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Kitabu cha Mwanamke wa Agano Sasa Kinapatikana Madukani Rasmi.

Next post

Hizi Ndizo Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi wa Saba 2017. Sikiliza Hapa.