Habari za Muziki

Habari Picha za Tamasha la Reborn Lililofanyika Tarehe 5.02.2017. Arusha Hizi Hapa.

Minister Eliya Mwantondo akiongoza watu katika kumwabudu Mungu.

Reborn ni ibada ya kumsifu na kumwabudu Mungu ambayo ina mlengo wa kuyabadilisha maisha ya watu na kumtambulisha Yesu kwa ambao hawajawahi kumsikia. Mawazo ya ibada hii yanashikiliwa na WAKORINTO 5:16-17. Tunaamini kwamba kwa kumwinua Yesu na ukawavuta wengi waje kwake hivyo tutakuwa na UZIMA NA UPYA wa Roho na Mwili” by Eliya Mwantondo.

Tamasha la Reborn limefanyika tarehe 5.02.2017 Arusha katika kanisa la T.A.G Calvary Temple ambapo ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya mwimbaji Eliya Mwantondo, tamasha hili liliandaliwa na Shangwe Foundation ambao walioongoza ibada nzima walikuwa Shangwe Voices na wengine waliohudumu katika tamasha hili ni Devotha-Dar, Boaz Danken-Mwanza, The Worshipperz intl-Arusha, na Machalii Wa Yesu.

Devotha akihudumu.

Pastor Philip Kimaro na mkewe wakimwombea Eliya.

Boaz Danken Akihudumu.


Like Page yetu ya facebook >> GOSPO MEDIA instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Sikiliza & Download Music Audio: Stevin Muli - Simama

Next post

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Edgar Mbilinyi Feat Trifaina - Msaada Ni Yeye