Habari

Emmanuel Kiwanga Aweka Historia ya Uzinduzi Jijini Dar es salaam July 30.

Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Emmanuel Kiwanga amefanikiwa kufanya uzinduzi wa albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la AMENIONA ikiwa na mkusanyiko wa jumla ya nyimbo sita.

Muimbaji huyu alifanya uzinduzi wa albamu yake siku ya jumapili katika kanisa la  T.A.G Ilala jijini Dar es salaam na kuhudhuliwa na watu mbalimbali wakiwemo waimbaji na wadau mbalimbali walioweza kufanikisha uzinduzi huo na kuufanya kuwa wa tofauti na wa aina yake.

Muimbaji Emmanuel Kiwanga akiwa na mgeni rasmi

Muimbaji Joseph Joel akihudumu.

Waimbaji wakiteta jambo kabla ya kuanza kwa huduma, Silas Mbise kulia akiwa na mwenzake.

Muimbaji Emmanuel Kiwanga akiwa anasikilliza jambo.

Muimbaji Mess Chengula akihudumu.

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Emmanuel Kiwanga kupitia:

Simu namba/WhatsApp: +255 757 710 822.
Facebook: Emmanuel Kiwanga
Instagram: @emmanuelkiwanga

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram > @gospomedia

 

Advertisements
Previous post

Download Audio: Chris Shalom - Dry Bones Are Rising

Next post

Download Audio: Godwin Praize Feat Rose - Power of Prayer(Barua Kwa Baba)