Music

Download Music Audio: Varkeize Motema Feat Daisy & Larry Singlive – Hear Our Cry

Kutoka nairobi kenya leo kupitia blog yako pendwa tumekusogezea kwako wimbo mpya uitwao Hear Our Cry kutoka kwa mwanamuziki wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Varkeize Motema akiwa amemshirikisha mwanadada Daisy na Larry Singlive wimbo ukiwa umetaarishwa na yeye mwenyewe akishirikiana na Michael Mathenge ndani ya studio yake iitwayo Linksyd Entertainment.

Mbali na kuwa mwanamuziki pia Varikeize ni Director, mwandishi na mwalimu wa muziki hasa wa live.

Kupitia blog yako pendwa ya gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kusikiliza na kuupakua wimbo huu na hakika utabarikiwa Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Varkeize kupitia
Facebook: Varkeize Motema
Instagram: @varkeizemotema
Simu/WhatsApp: +254 725 711714

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Usanifu Experts Videoz Watoa Ofa ya Video Production Kwa Waimbaji Wa Muziki Wa Injili.

Next post

Tazama Video | Download Audio: Boaz Charles Feat Lemi Masheria - Nampenda Mpenda