Music

Download Music Audio: Okey Sokay – Winner

Muimbaji wa muziki wa Injili kwa mtindo wa hiphop kutoka nchini nigeria anayefahamika kwa jina la Okey Sokay kaachia wimbo wake mpya unaoitwa ‘Winner'(Mshindi) ukiwa ni wimbo uliotayarishwa na producer bora kabisa kutoka afrika akifahamika kwa jina la SMJ.

”Tulishinda kwa damu ya Mwanakondoo (Yesu) na kwa maneno ya ushuhuda wetu. (Ufunuo 12:11, 1 Wakorintho 15:57). Tunachukua utatu ndani yetu na hatuna sababu ya kushindwa, hatuwezi kushindwa, sisi ni washindi. ”  Haya ni baadhi ya mashairi yanayopatika katika wimbo huu.

gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza na kupakuwa wimbo huu ambao ni hakika utakubariki sana. Karibu!!

Download Audio

Social Media
Twitter | Instagram: @OkeySokay

 

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>@gospomedia

Comments

comments

Lads

Lads

Ladslaus Milanzi ni mwanzilishi wa mtandao wa gospomedia, lengo kuu la mtandao huu ni kuitangaza na kuisambaza Injili kupitia habari za kikristo, maarifa ya mambo mbalimbali na burudani ya muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Afrika, Karibu ubarikiwe!!
Wasiliana nami kupitia Simu/WhatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Download Music Audio: Christina Seme - New Day

Next post

Tazama Video | Download Audio: Mess Jacob - Mwacheni Mungu