Audio

Download Music Audio: Melbourne – He’s Able

Anajulikana kwa jina la Melbourne muimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini zambia mwenye ndoto ya kuufikia ulimwengu katika kuihubiri injili ya Yesu Kristo kupitia nyimbo za Injili na amekuwa akijitoa kwa Mungu na kuongozwa na roho mtakatifu na kufanikiwa kufanya kazi kubwa zaidi ambazo zimebariki maisha ya watu wengi na mpaka sasa anaendelea kufanya muziki uliojazwa mafuta ya utakatifu unaobadilisha maisha ya watu na kusambaza ujumbe wa matumaini.

Leo kupitia blog yako pendwa tumekuwekea wimbo wake mpya uitwao ‘He’s Able’ (Yeye Anaweza) uliotaarishwa na producer Sheka, Shex, Mapalo na Israel.

Karibu upakue, usikilize na hakika utaendelea kubarikiwa kupitia wimbo huu.

Download Audio

Wasiliana na Melbourne Mushitu kupitia:

Facebook: Melbourne Mushitu

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Audio: Trinah - Too Good

Next post

Download Audio: Phoebe Carol - Baraka Zako