Audio

Download Music Audio: Makene Feat. Bahati Kihayile – Maji ya Uzima

Shalom mwana wa Mungu! leo tumekusogezea wimbo mpya uitwao Maji ya Uzima kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili kutoka mwanza anayefahamika kwa jina la Makene akiwa amemshirikisha mwimbaji Bahati Kihayile, wimbo ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za AB Records chini ya mikono ya prodyuza The lion Touch.

Maji ya uzima ni wimbo unaoelezea wokovu kupitia Yesu Kristo ambaye ndio kiini cha wokovu wetu ili tuweze kuishi kitakatifu na kuwa karibu na Mungu. Huu ni wimbo wa kuinua moyo kwa wewe mwana wa Mungu utakayebarikiwa kusikiliza wimbo huu.

Kwa moyo wa unyenyekevu tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu wenye baraka ya kukutia Moyo na kukuinua. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Makene kupitia:
Simu namba/WhatsApp: +255 754 426 593
Facebook: Makene
Instagram: @officialmakene

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Albamu Mpya ya Mwimbaji Tasha Cobbs Leonard Yashika Namba Moja Kwenye Chati za BillBoard

Next post

Tazama Video | Download Music Audio: Rachael Owojori - Let’s Praise Him