Nyimbo

Download Music Audio: Glady Mwaihojo – Nataka Nikuone

Kutoka jijini Mbeya leo kupitia blog yako pendwa ya gospomedia tumekusogezea wimbo mpya uitwao Nataka Nikuone kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Glady Mwaihojo, wimbo huu umetayaarishwa ndani ya studio za Bizzy Records chini ya mikono ya prodyuza Tony.

Katika wimbo huu mwimbaji Glady amezungumzia juu sifa na utukufu wa Mungu na kutukumbusha juu ya kutoacha kuwa karibu na Bwana wetu Yesu Kristo ili Mungu azidi kutenda maajabu juu ya maisha yetu na kuendelea kupokea baraka zake kwa kuwa hakuna mwingine kama yeye zaidi mwenye kuweza kushusha baraka za kiroho na kimwili kwa wale wote wanaomuamini.

Kwa moyo mkunjufu gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Glady Mwaihojo kupitia:

Simu/WhatsApp: +255 752 092 042
Facebook: Glady Mwaihojo
Instagram: @gladymwaihojo
Youtube: Glady Mwaihojo

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio: Nelson Marko - Mapenzi Ya Mungu.

Next post

Tazama Video | Download Audio: Annoint Essau Amani - Sweeet wa Uongo