Audio

Download Music Audio: Geo Feat Josh – On My Nerves

Kutoka nchini zambia mpaka Tanzania leo kupitia blog yako pendwa ya gospomedia tunakukaribisha kuisikiliza na kupakua wimbo mpya uitwao ‘On My Nerves’ kutoka kwa rapa wa nyimbo za Injili kutoka nchini humo anayetambulika kwa jina la Geo akiwa amemshirikisha muimbaji Josh.

Geo ni moja kati ya wasanii waliobarikiwa kuwa na vipaji vingi nchini zambia ambaye alianza kuwa dancer na baadae akawa mtayarishaji wa muziki na sasa ni mwandishi na rapa wa muziki wa Injili nchini humo.

gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao hakika utakubariki sana. Karibu!!

Download Audio

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Muimbaji Tasha Cobbs Arekodi Wimbo na Nicki Minaj Kwenye Album Yake Mpya.

Next post

Tazama Video | Download Audio: Subira Mwikwabi - Nisamehe