Audio

Download Music Audio: Foster Mtegha feat. Ester Mtegha & Baraka Mkalanga – Hallelujah

Shalom mwana wa Mungu! leo kupitia blog yako pendwa tumekusogezea wimbo mpya uitwao Hallelujah kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Foster Mtegha akiwa amemshirikisha mwimbaji Ester Mtegha na Baraka Mkalanga, wimbo ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Touch Music chini ya mikono ya prodyuza Emmi Bway.

Huu ni wimbo wa kuabudu na sifa kwa Mungu Baba yetu ambaye ndiye mtawala wa viumbe na vitu vyote duniani na leo kupitia wimbo huu kutoka mtumishi Foster Mtegha anatukumbusha juu ya ukuu wa nguvu za utawala wake duniani na mbinguni na kwamba kila kiumbe kimhimidi na kumsifu Bwana ili kupokea utukufu na uzima wa milele.

Kwa moyo wa unyenyekevu tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao utajaza baraka siku yako ya leo. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Foster Mtegha kupitia:
Simu namba/WhatsApp: +255 714 816 900
Facebook: Foster Stembridge

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Kanisa la Askofu Gwajima labomolewa.

Next post

Download Audio Music : Sam Kyande - Yanapita