Music

Download Music Audio: Evalyne Denis – Nakutamani

Kutoka jijini Dar es salaam leo kupitia blog yako pendwa ya gospomedia tumekusogezea wimbo mpya uitwao Nakutamani kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Evalyne Denis.

Wimbo huu umetayaarishwa ndani ya studio ya Saimal Records chini ya mikono ya producer Success Classic.

Hii ni moja kati ya nyimbo nzuri sana ya kuabudu iliyoandaliwa katika ubora wa hali ya juu ambapo muimbaji Evalyne ametukumbusha juu ya uzuri na utukufu wa Mungu na kiu ya kukaa uweponi mwa Mungu na kuongozwa naye katika kila hatua ya maisha yetu.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Evalyne Denis kupitia:
Simu namba/WhatsApp: +255 652 838 203
Facebook: Evalyne Denis
Instagram: @evalyne_d29
Youtube: Evalyne Denis

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Comments

comments

Lads

Lads

Ladslaus Milanzi ni mwanzilishi wa taasisi ya gospomedia, lengo kuu la mtandao huu ni kuisambaza Injili kupitia habari za kikristo, maarifa ya kiroho na kimwili na burudani ya muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania, Karibu ubarikiwe!!
Wasiliana nami kupitia Simu/WhatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Download Audio: Mercy Chinwo - On A Regular

Next post

Tazama Video | Download Audio: Dee Jones - Nothing Is Impossible