Audio

Download Music Audio: David Madaha Feat Suzy Madaha – Ulimwengu wa Leo

Kutoka jijini Dar es Salaam Tanzania tovuti ya gospomedia.com leo inautambulisha kwako wimbo mpya uitwao Ulimwengu wa Leo kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la David Madaha  ( Mzee wa Songa Mbele ) hapa akiwa amemshirikisha mke wake anayefahamika kwa jina la Suzy Madaha.

Akiongea na gospomedia.com David Madaha amesema kuwa wimbo huu unapatikana kwenye album yake mpya inayobeba jina hilo la Chuki na Fitina ambayo inapatikana kupitia maduka mbalimbali ya wasambazaji ikiwa kwenye mfumo wa Audio Cd na Dvd.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Ulimwengu wa Leo kutoka kwa mumbaji David Madaha na usiache kumpa sapoti yako kwa kuinunua album yake mpya ya Chuki na Fitina ambayo hakika utabarikiwa na kuinuliwa sana ukipata nafasi ya kuisikiliza album hiyo ambayo imejaa jumbe mbalimbali za kiroho pia unaweza kuwashirikisha wengine wimbo huu kwa kadri uwezavyo ili Injili iweze kuwafikia wengi zaidiKaribu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma na jinsi ya kuipata album wasiliana na mwimbaji David Madaha(Mzee wa songa mbele) kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 654 41 66 22 / +255 755 318 104
Facebook: David Madaha
Instagram: @davidmadaha

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Fahamu Ukuaji wa Ukristo katika nchi ya korea ya Kaskazini Licha ya Mateso makali kwa Wakristo.

Next post

Download Gospel Music Audio: Mary Mtoi - Ombi Langu