Audio

Download Music Audio: Abednego Zephania Mawalla – Sifa Zivume

Kutoka jijini Arusha, Tanzania gospomedia.com leo inamtambulisha kwako mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Abednego Zephania Mawalla  wimbo huu unaitwa Sifa Zivume ukiwa umetengenezwa na producer Ishengoma pamoja na Producer Hendry(mr.White) kutoka studio ya vision record.

Akiongea na timu ya gospomedia.com muimbaji Abednego amesema kuwa wimbo huu wa Sifa Zivume ni moja kati ya nyimbo zinazopatikana kwenye album yake mpya inayobeba jina la Uinuke ikiwa imebeba nyimbo tisa na sasa anatafuta msambazaji wa album hii.

Album Mpya ya Abednego Zaphania Mawalla – Uinuke

Abednego Zephania Mawalla

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Sifa Zivume kutoka kwa mumbaji Abednego Zephania Mawalla na usiache kumpa sapoti kwa kuwashirikisha wengine wimbo huu kwa kadri uwezavyo ili Injili iweze kuwafikia wengi zaidi duniani kote na hakika utabarikiwa sanaKaribu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Abednego Zephania Mawalla kupitia
Simu/WhatsApp: +255 759 158 067
Facebook: Abednego Soine
Instagram: @abednegomawalla

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Music Audio: Rungu La Yesu - Take Care

Next post

Download Gospel Music Audio: Boaz Anthony - Wewe Ni Mungu