Music

Download Gospel Music Audio: Mary Mtoi – Ombi Langu

Kutoka jijini Dar es Salaam Tanzania tovuti ya gospomedia.com leo inautambulisha kwako wimbo mpya uitwao Ombi Lako kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Mary Mtoi wimbo ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Touch One Records chini ya mikono ya producer Bony kutoka jijini Dar es salaam.

gospomedia.com tunakupa nafasi ya kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Ombi Lako kutoka kwa mumbaji Mary Mtoi na uwashirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili waweze kubarikiwa na kuisaidia Injili kusambaa kwa watu wote na hakika Mungu atakubariki sanaKaribu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma na jinsi ya kuipata album wasiliana na mwimbaji Mary Mtoi kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 656 406 536
Facebook: Mary Mtoi
Instagram: @marymtoi

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Download Music Audio: David Madaha Feat Suzy Madaha - Ulimwengu wa Leo

Next post

Download Gospel Music Audio: Edwin Mrope - Piga Kelele