Music

Download Gospel Music Audio: Boaz Anthony – Wewe Ni Mungu

Kutoka jijini Mwanza Tanzania gospomedia.com leo inamtambulisha kwako mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Boaz Anthony wimbo huu unaitwa Wewe Ni Mungu ukiwa umetengenezwa ndani ya  studio iitwayo Viber Nation kutoka jijini Mwanza.

Akiongea na timu ya gospomedia.com muimbaji Boaz Anthony Amefunguka haya “WEWE NI MUNGU NI WIMBO UNAO ELEZEA UKUU WA MUNGU ….MUNGU ANA STAHILI , ANAWEZA, HAKUNA ASILO WEZA, ALIWEZA KUWATOA IZRAEL KUTOKA UTUMWANI NAKUWAPELEKA NCHI YA AHADI ALIYO WAAHIDI.. HATA KATIKA MAISHA YETU YEYE ANAWEZA YOTE ..SABABU YEYE NI MUNGU ANAYESTAHILI KWA KILA KITU ..TUJAPO ANGUKA YEYE BADO ATATUINUA KWA SABABU YEYE NI MUNGU NA HAKUNA KAMA YEYE…”

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Wewe Ni Mungu kutoka kwa mumbaji Boaz Anthony na usiache kumpa sapoti kwa kuwashirikisha wengine wimbo huu kwa kadri uwezavyo ili Injili iweze kuwafikia wengi zaidi duniani kote na hakika utabarikiwa sanaKaribu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Boaz Anthony kupitia
Simu/WhatsApp: +255 764 244 821 au +255 712 374 797
Facebook Page: Boaz Anthony
Instagram: @boazy_anthony 

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Download Music Audio: Abednego Zephania Mawalla - Sifa Zivume

Next post

Ndoa: Fuata Mwongozo wa Mungu ili Uwe na Ndoa Yenye Furaha.