Music

Download Audio: Yared Ndolosi – Mshukuruni Bwana

Shalom mwana wa Mungu! Kutoka mjini Kahama Shinyanga, leo tumekusogezea wimbo mpya uitwao Mshukuruni Bwana kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Yared Ndolosi wimbo ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za KQS Music chini ya mikono ya prodyuza Richard Mashine.

Mshukuruni Bwana ni wimbo wa sifa kwa Bwana wetu Yesu Kristo ambaye fadhili zake ni za milele na amekuwa akifanya maajabu maishani mwetu.. Huu ni wimbo wa kutukumbusha juu ya wema wa Mungu katika maisha yetu na kusisitizwa kumshukuru yeye kila siku maana hata pumzi ya uhai wetu na kila kitu tulichonacho ni kwa utukufu wake.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Yared Ndolosi kupitia:
WhatsApp: +255 758 118 835
Facebook: Yared Ndolosi
Instagram: official_yaredtz
Twitter: @yaredndolosi
Email: yndolosi@gmail.com

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Tazama Official Video | Download Music Audio: Emma - Nachotaka

Next post

Download Official Music Audio: Juma Kyando - Ni Yesu