Music

Download Audio: Voniyke Feat Precious & Soul Extreme – You Are God

Mwimbaji Voniyke kutoka nchini nigeria ameachia wimbo wake mpya uitwao ”You are God”  (Wewe ni Mungu) akiwa amemshirikisha mwimbaji Promise na Soul Xtreme.

Voniyke ni moja kati ya waimbaji walioleta mapinduzi makubwa ya muziki wa Injili Afrika uliojazwa na mapigo ya muziki wa nchi za magharibi(ulaya) na kupitia chombo kimoja cha habari alisema ”Maono yetu ni kueneza injili ya Bwana na Mwokozi Yesu Kristo, kwa sehemu zote za dunia ili kuweka sifa za Mungu juu ya midomo ya kila mmoja – vijana na wazee ili waondokane na kuzimu, na kupanua Ufalme wa Mungu.” Alimaliza Voniyke.

Huu ni wimbo wenye mahadhi ya kuabudu ni hakika utabarikiwa na kuinuliwa kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza na kupakua. Barikiwa!!

Download Audio

Social Media
Instagram: @officialvoniyke
Twitter: @officialvoniyke
Facebook: officialvoniyke
Website: www.voniykemusic.com

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Tazama Video | Download Audio: Evalyne Denis - Nakutamani

Next post

Tazama Video | Download Audio: Jerry K - The Air I Breath