Audio

Download Audio: Victor Tullo – Nimeuona Mkono wa Bwana

Shalom mwana wa Mungu! leo tumekusogezea wimbo mpya uitwao Nimeuona Mkono wa Bwana kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Victor Tullo wimbo ukiwa umefanyika ndani ya studio ya no name chini ya mikono ya prodyuza monster.

Nimeuona mkono wa Bwana ni wimbo unaoelezea ukuu wa Mungu kupitia jina la Bwana wetu Yesu Kristo, kupitia wimbo huu mwimbaji Victor Tullo anatudhihirishia uzuri wa Mungu juu ya maisha ya wana wa Mungu na jinsi anavyotenda makuu juu yetu na hapa ameweka wazi ushuhuda wa maisha yake aliyopitia lakini kupitia mkono wa Bwana wenye huruma umebadilisha maisha yake kutoka chini na kumketisha mahali pa juu zaidi na kusisitiza ataendelea kumtumikia Mungu katika roho na kweli.

Kwa moyo wa unyenyekevu tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu wenye kutia moyo na kukuinua na hakika Utauona Mkono wa Bwana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Victor Tullo kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 625 618 772 au +255 658 895 666
Facebook: Victor Tullo Jackobo
Instagram: @victor_tullo
Youtube: Victor Tz

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

 

Advertisements
Previous post

TAMUFO na NSSF kuwawezesha wanamuziki kiuchumi septemba 2, 2017.

Next post

Tazama Official Video | Download Audio: Ikupa Mwambenja - Umwema