Music

Download Audio: Trinah – Too Good

Trinah Chisanga ni mwimbaji na mwandishi wa nyimbo za Injili kutoka nchini zambia na leo kupitia blog yako pendwa tumekusogezea wimbo wake mpya uitwao ‘Too Good’.

Kupitia sekta ya muziki hasa wa Injili Trinah amefanikiwa kuwafikia watu wengi zaidi nchini zambia na Afrika kutoka na mambo mbalimbali makubwa aliyoyafanya kupitia huduma yake ya muziki. Trinah alianza kuimba tangu akiwa mdogo sana na alishinda tuzo ya muimbaji bora wakati anasoma shule ya msingi na wakati huo akiwa na umri wa miaka tisa tu, hii ilimuongezea chachu na shauku ya kuendelea kupenda na kujua muziki kwa kiasi kikubwa na kumfanya kupata mafanikio makubwa hadi kufikia sasa.

Blog yako pendwa ya gospomedia.com inakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu na hakika utabarikiwa na jinsi ya uimbaji wake. Karibu!!

Download Audio

Wasiliana na Trinah Chisanga kupitia:

Facebook: Trinah Chisanga
Instagram: @trinahchisanga

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Download Audio: Betty Barongo Feat Walter Chilambo - Nijenge

Next post

Download Music Audio: Melbourne - He's Able