Video

Download Audio: Shonaman – High Five

Kutoka south Africa, muimbaji mahiri wa miondoko ya gospel ya hiphop akifahamika kwa jina la Shonaman anakukaribisha kuitazama video yake mpya iitwayo High Five kutoka kwenye Extended Play (EP) yake mpya anayotarajia kuiachia hivi karibuni video ya wimbo huu imeongozwa na director Shaun-d na Beisz Major wakishirikiana na Shonaman mwenyewe na audio ikiwa imetengenezwa na prodyuza Morf.

gospomedia.com inakukaribisha kuitazama video hii na kupakua wimbo huu. Barikiwa!!.


Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi:
Facebook: Shonaman.ppa
Instagram: @shonaman_ppa
YouTube: Shonaman _P.P.A

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Download Audio: Size 8 Reborn - I Can`t Imagine

Next post

Download Audio: Agent Snypa - Unconditional