Music

Download Audio: Sandra Curtis – I am Saved

Anaitwa Sandra Omorotionmwan kutoka nchini uingereza ambaye pia anajulikana kwa jina la Sandra Curtis amefanyika baraka katika tasnia ya muziki wa Injili duniani kupitia wimbo huu mpya uitwao ‘Iam Saved’ (Nimeokolewa).

gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu na hakika utabarikiwa. Karibu!!

Download Audio

Mawasiliano na Sandra Curtis
Instagram: @sandracurtis_official
Twitter: @sandracurtis_

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Download Audio: Frank Mjuni - Ainuliwe

Next post

Download Audio: Ibitayo Jeje - Mama mi