Music

Download Audio: Preye Orok – Depandable God

Kutoka nchini nigeria leo tumekusogezea wimbo mpya uitwao ”Depandable God” kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini nigeria anayefahamika kwa jina la Preye Orok.

Preye Orok ni mwimbaji alyebarikiwa katika nyimbo za kuabudu akiwa na kipawa cha utunzi wa mashairi na kuimba katika kiwango cha hali ya juu ambaye alianza huduma hii akiwa katika umri mdogo.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika utakubariki sana. Karibu!!

Download Audio

Social Media:
Twitter | Instagram: @anitabarn | Facebook: Preye Orok

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Download Official Music: Rehema Lupilya - Mwema

Next post

Download Audio Music: Anicia Kinemo - Ushuhuda Wangu