Music

Download Audio: Palmira – Glorious in my Eyes

Palmira, ni mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini nigeria, leo kupitia blog yako pendwa ya gospomedia tumekusogezea rasmi wimbo wake mpya uitwao ”Glorious in my Eyes”. wimbo ukiwa umetaayarishwa na prodyuza Mikkyme Joses.

Wimbo huu unaelezea sifa kwa Mungu wetu na kutuhamasisha kuwa na imani juu ya nguvu za Mungu kupitia roho mtakatifu,  muziki huu ni wa kipekee sana ambao kwa hakika utapanua uwanja wa imani yako kwa kiwango kingine.

gospomedia.com inakukaribisha kwa moyo mkunjufu kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao hakika utakuwa ni baraka sana kwako. Karibu!!

Download Audio

Wasiliana na Palmira kupitia Social Media:

Twitter | Facebook | Instagram – @OfficialPalmira

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Comments

comments

Lads

Lads

Ladslaus Milanzi ni mwanzilishi wa mtandao wa gospomedia, lengo kuu la mtandao huu ni kuitangaza na kuisambaza Injili kupitia habari za kikristo, maarifa ya mambo mbalimbali na burudani ya muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Afrika, Karibu ubarikiwe!!
Wasiliana nami kupitia Simu/WhatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Download Audio: Rozey - iShine

Next post

Audio: Nelson Marko - Mapenzi Ya Mungu.