Music Audios

Download Audio: Otor Clement – Thank You Lord

Kutoka nchini nigeria muimbaji wa muziki wa injili anayefahamika kwa jina la Otor Clement ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘Thank You Lord’  (Asante Bwana).

Katika wimbo huu Otor amezungumzia juu ya kumshukuru Mungu kwa mambo ambayo amemtendea katika maisha yake na kuwakumbusha watu kumtukuza Mungu kwakuwa yeye ni mkuu kuliko vitu vyote duniani na mbinguni.

gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao hakika utakubariki sana. Karibu!!

Download Audio

Social Media

Facebook: Otor Clement
Instagram: @otorclement

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

 

Comments

comments

Lads

Lads

Ladslaus Milanzi ni mwanzilishi wa mtandao wa gospomedia.com, lengo kuu la blog hii ni kukuletea habari mbalimbali za kikristo na matangazo ya muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania.
Wasiliana nami kupitia Simu/WhatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Tazama Music Video | Download Audio: Goodluck Gozbert - Shukurani

Next post

Tazama Video | Download Audio: Lecrae feat. Tori Kelly – I’ll Find You