Music

Download Audio Music: Tbabz Feat Yoyo & Tiwezi – Back To You

Shalom mwana wa Mungu! leo nimekuwekea wimbo uitwao ”Back To You”(Narudi Kwako) kutoka kwa mwinjilisti ”Tolulope BabaJide” au unaweza kumwita ”T Babz” ambaye ndiye prodyuza wa wimbo huu akiwa amemshirikisha mwimbaji mwenye sauti nzuri sana anayefahamika kwa jina la Yoyo pamoja na Tiwezi.

”Haijalishi mzigo uliobeba, Yesu Kristo alisema “Njooni kwangu, ninyi nyote mlioelemewa na mizigo mizito, nami nitawapumzisha. Haijalishi ni umbali wa kiasi gani umesimama kati yako na Mungu, bado nafasi ipo ya wewe kuweza kurudi kwake na akakupokea na kukutakasa!..”

Ni hakika wimbo huu utakuwa ni wa baraka sana kwako na kukuinua. Karibu ufurahie na ubarikiwe!

Download Audio

Social Media: Instagram, Twitter : @tbabz_beats @yoyomuzic @tiwezi

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Download Audio Music: Stanley Qamara - Jinsi Ninavyokupenda

Next post

Download Audio: Microphone7 - Mu'Mfyoli(In the Files)