Audio

Download Audio Music: Derick Ndonge – Yu Mwema

Kutoka jijini Mwanza, leo tumekusogezea wimbo uitwao Yu Mwema kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Derick Ndonge wimbo ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Zoo Records chini ya mikono ya prodyuza Dr.Eddo.

Yu Mwema ni wimbo unaotoa tumaini kwa watu wote ambao kwasasa wanapita katika mapito magumu ambayo kwa namna moja ama nyingine yanakwamisha jitihada zao za kusonga mbele, kupitia mtumishi wa Mungu Derick Ndonge ametuletea ujumbe wa kutukumbusha na kututia moyo kupitia wimbo huu wa ”Yu Mwema” ambao ni hakika utakwenda kuwa baraka zaidi siku ya leo kwakuwa tunaamini Bwana Yesu atakuwa ametenda jambo kubwa la kuinua Imani ya kumtumaini yeye katika maisha yako.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki na kukuinua zaidi. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Derick Ndonge kupitia
Simu/WhatsApp: +255 753 661 611
Facebook: Derick Ndonge
Instagram: @derick_ndonge
YouTube: Derick Ndonge

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Download Audio Music: Ringtone Feat Gloria Muliro - Wacha Iwe

Next post

Josiah Justice Yupo Tayari Kwa Ujio Wake Mpya. Awaonya Waimbaji.