Music

Download Audio Music : Anita Barn – Power Belongs To You

“Power Belongs To You” ni wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili kutoka nchini nigeria anayefahamika kwa jina la Anita Barn ambaye kupitia wimbo huu anathibitisha ukuu wa Mungu na utukufu wake, na kutukumbusha kuwa mafanikio yetu ni kupitia nguvu za Mungu katika kila hali, kupitia jina la Bwana wetu Yesu Kristo.

Akizungumzia kuhusu wimbo huo, mwimbaji Anita Barn alisema: “Huu ni wimbo unaongozwa na Roho Mtakatifu kuleta tumaini kwa wale walio katika hali mbaya. Ni ukumbusho mzuri kwamba hakuna chochote kisichowezekani kwa Mungu kwa sababu nguvu zote ni za yeye na anaweza kugeuza hali yoyote katika maisha yetu, ikiwa tunaweza tu kumwamini.

Wimbo huu umetayaarishwa na prodyuza aliyewahi kushinda tuzo ya muziki anayefahamika kwa jina la Olaitan Dada kutoka studio za Natialo productions.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu utakaofanyika baraka juu ya maisha yako. Karibu!!

Download Audio

Social Media:
Twitter | Instagram: @anitabarn | Facebook: Anita Barn Ent.

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Download Audio Music : Sam Kyande - Yanapita

Next post

Mwimbaji Anna Mapessa Kuachia Wimbo Wake Mpya Tarehe 15 Septemba 2017