Audio

Download Audio Music: Anicia Kinemo – Ushuhuda Wangu

Kutoka jijini Dar es salaam leo tumekusogezea wimbo mpya uitwao Ushuhuda Wangu kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Anicia Kinemo.

Wimbo huu upo ndani ya albamu yake mpya iliyobeba jina la wimbo huu ikiwa na mkusanyiko wa nyimbo saba ikiwa inapatikana katika mfumo wa Audio CD.

Akiongea na timu ya wanahabari wa gospomedia.com mwimbaji Anicia Kinemo amesema kuwa hii ni album yake ya kwanza ambayo kuikamilisha mwaka huu 2017  ikiwa imebeba ujumbe mkubwa wa Mungu kwa watu wake ambao watabarikiwa na kuinuliwa kupitia Neno linaopatikana kwenye album hii. Alisema mwimbaji Anicia Kinemo

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu na hakika utabarikiwa. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi ya jinsi ya kuipata nakala ya album hii na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Anicia Kinemo kupitia:
Simu namba/WhatsApp: +255 717 054 246

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Audio: Preye Orok - Depandable God

Next post

Download Audio Music: Enea Mahenge - Nina Deni