Audio

Download Audio: Mercy Chinwo – On A Regular

Shalom mwana wa Mungu!! leo kupitia blog yako pendwa ya gospomedia tumekusogezea wimbo mpya uitwao ”On A Regular” kutoka kwa muimbaji mahiri wa nyimbo za Injili kutoka nchini nigeria anayefahamika kwa jina la Mercy Chinwo wimbo ukiwa umetayaarishwa na prodyuza mahiri nchini humo anayefahamika kwa jina la Dr. Roy kutoka studio za EeZee Productions.

Mercy Chinwo ni moja kati ya waimbaji wenye ushawishi mkubwa katika kiwanda cha muziki nchini nigeria na katika kazi hii ameamua kutoka na muziki wenye mtindo wa mapigo ya kisasa ukiwa umebeba ujumbe wa neno la Injili.

Mfumo huu wa kutumia mapigo ya kisasa katika nyimbo za Injili umekuwa ukitumika kwa kiasi kikubwa nchini nigeria na hata nchini zingine duniani kwa kile kinachoaminika kuwa kutumia mapigo ya aina hiyo umekuwa na mafanikio makubwa ya kuwavuta wale ambao hawaamini katika Mungu na Yesu Kristo kufanyika upya na kumtumikia Mungu vile inavyopaswa na kuwabariki wengine.

Kwa moyo mkunjufu kabisa gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao tunahakika na wewe utakubariki muda wote utakapokuwa unausikiliza. Karibu!!

Download Audio

Social Media:
Twitter: @Mercychinwo
Instagram: @mercychinwo
Facebook: Mercy Chinwo

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Download Audio: Christina Shusho - Roho

Next post

Download Music Audio: Evalyne Denis - Nakutamani