Music

Download Audio: Mercy Chinwo – Excess Love

Mercy Chinwo ni msanii wa muziki wa injili kutoka nchini Nigeria na sasa ametoka na wimbo wake mpya uitwao “Excess Love” (Upendo wa ziada), huu ni wimbo mzuri ambao unaonyesha upendo wa Mungu kwa sauti inayoinua ambayo inaleta hali ya ibada.

Upendo wa ziada unasimulia upendo mwingi wa kristo, usio na ukali. Katika maneno machache yalio katika wimbo huu unaelezea nguvu ya upendo wa Yesu ambao umepewa kwa watu wote ambao wako tayari kupokea.

Wimbo huu umetengenezwa ndani ya  studio ya EeZee Productionz chini ya prodyuza Dr. Roy.

Jitayarishe kuwa ndani ya ibada kupitia wimbo huu na hakika utabarikiwa moyo wako. Karibu!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na muimbaji Mercy Chinwo kutoka nchini Nigeria kupitia:
Twitter: @Mercychinwo
Instagram: @mercychinwo
Facebook: Mercy Chinwo

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Comments

comments

Lads

Lads

Ladslaus Milanzi ni mwanzilishi wa mtandao wa gospomedia, lengo kuu la mtandao huu ni kuitangaza na kuisambaza Injili kupitia habari za kikristo, maarifa ya mambo mbalimbali na burudani ya muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Afrika, Karibu ubarikiwe!!
Wasiliana nami kupitia Simu/WhatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Download Audio: Janni - Commited to You

Next post

Download Audio: Dare David Feat Bukola Bekes - Awesome God