Music

DOWNLOAD AUDIO: JOSEPH MABULA-CHUKI YA NINI?

Kutoka morogoro Tanzania leo gospomedia tunamtambulisha kwenu mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Joseph Mabula akitokea kanisa la E.A.G.T chini ya mikono ya Mchungaji Matenusi Njovu, huu ni wimbo wake mpya unaoitwa CHUKI YA NINI? wimbo huu umetengenezwa ndani ya studio ya P.O.G production chini ya mikono ya prodyuza Meza na Jimmy, akiongea na GospoMedia mwimbaji Joseph mabula amesema kuwa ameamua kuachia wimbo huu kwa lengo la kuwakumbusha watu wote maana halisi ya Upendo na kuacha Chuki ambazo ni adui mkubwa wa Imani kwa watu na kuwa chanzo cha dhambi nyingi duniani hakika ukisikiliza wimbo huu utapata kubarikiwa sana na ujumbe huu mzito ambao utakwenda kuyagusa maisha yako ya kilasiku. kwa mialiko mbalimbali na mawasiliano zaidi tafadhali wasiliana na Joseph Mabula kupitia namba +255656173026 au pia unaweza kumpata kupitia mtandao wa Facebook: Joseph Mabula. Barikiwa sana!!

DOWNLOAD

Like Page yetu ya facebook >>>> GOSPOMEDIA instagram: @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

DOWNLOAD AUDIO: B ZABLON SENIOR-NISHIKE

Next post

DOWNLOAD AUDIO: LILIAN NGOWI-NINAENDELEA MBELE