Music

DOWNLOAD AUDIO: JENIPHER SITTA – UPO NA MIMI

Kutoka Arusha Tanzania, GospoMedia.com tunamtambulisha kwenu mwanamuziki wa nyimbo za Injili JENIPHER SITTA kwa wimbo wake huu mpya unaotambulika kwa jina la UPO NA MIMI ambao umetengenezwa ndani ya studio za HABARI MAALUM chini ya maprodyuza watatu ambao ni Zefania, Maiko na Edward ambao kwa pamoja wamefanikisha ukamilifu wa wimbo huu akiongea na GospoMedia Msimamizi wa Jennifer Sitta bwana Joff Mulenga amesema kuwa Album yake mpya ipo mbioni kukamilika na mpaka kufikia mwezi wa tano mwaka huu album hii itakuwa ipo tayari kuachiwa na itatambulika kwa jina la UPO NA MIMI. ukiwa kama mdau na shabiki wa muziki wa Injili Tanzania pata nafasi ya kudownload na kuusikiliza wimbo huu kisha share na wengine kadri uwezavyo ili kusambaza ujumbe wa mungu ulio katika wimbo huu, unaweza pia kuwasiliana na Jenipher Sitta kupitia mitandao ya kijamii Facebook: Jenipher Sitta Instagram: Jennsitta. Barikiwa sana!!

DOWNLOAD

 

Like Page yetu ya facebook >>>> GOSPOMEDIA

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

BAHATI BUKUKU
Previous post

VIDEO: ANGALIA MAHOJIANO MAALUMU YA BAHATI BUKUKU NDANI YA PRAISE POWER RADIO.

Next post

JE WAJUA KUWA EDSON MWASABWITE ALIRUDIA KUFANYA VIDEO YA KWA NEEMA, ITAZAME HAPA.