Music

Download Audio: Janni – Commited to You

“Coming your way” ni wimbo wa kwanza kuachiwa kutoka kwa muimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini nigeria anayefahamika kwa jina la Janni. “Commited to You” ni wimbo unaoonyesha upendo wa Mungu kwa mwanadamu, unawaingiza watu katika wokovu kama maneno yanavyoimba.

Janni ni kiongozi wa ibada ya kipekee na mwandishi, ambaye anaimba kumtumikia Mungu kupitia mafuta ya Roho Mtakatifu katika nyimbo na mafundisho.

Sikiliza, pakua na uongozwe na ujumbe ulio katika wimbo huu wakati wote na hakika utabarikiwa na sauti hii. Ni msimu wako wa upanuzi wa mafanikio. Barikiwa!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na muimbaji Janni kutoka nchini Nigeria kupitia:
Twitter: @ministerjanni
Instagram: @ministerjanni
Facebook: Minister Janni

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Download Music Audio: Oluwapelemi - Big God

Next post

Download Audio: Mercy Chinwo - Excess Love