Music

Download Audio: Ibitayo Jeje – Mama mi

‘Mama Mi’ ni wimbo mpya Kutoka kwa muimbaji mahiri wa nyimbo za Injili kutoka nchini nigeria akifahamika kwa jina la Ibitayo Jeje huu ni wimbo wake mpya aliouachia kwa ajili ya kuwatambua na kuwapongeza wanawake na akina mama wote ambao wapo katika nafasi ya kutimiza majukumu yao familia zao na jamii kwa ujumla hakika ni wimbo wenye hisia sana unapousikiliza ukiwa na mchanganyiko wa ladha mbalimbali za muziki wa rnb na vionjo vya muziki wa kiafrika.

gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu na hakika utabarikiwa. Karibu!!

Download Audio

Mawasiliano na Ibitayo Jeje
Facebook: Ibitayo Jeje
Instagram: @ibitayojeje
Twitter: @ibitayojeje

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Comments

comments

Lads

Lads

Ladslaus Milanzi ni mwanzilishi wa mtandao wa gospomedia, lengo kuu la mtandao huu ni kuitangaza na kuisambaza Injili kupitia habari za kikristo, maarifa ya mambo mbalimbali na burudani ya muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Afrika, Karibu ubarikiwe!!
Wasiliana nami kupitia Simu/WhatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Download Audio: Sandra Curtis - I am Saved

Next post

Muimbaji Boaz Danken Kuzindua Album Mbili Mwezi wa 8 Jijini Mwanza