Music

Download Audio: Goodluck Gozbert & The Sauti Light Worshippers – Wastahili Sifa

Shalom mwana wa Mungu!! leo kwa mara nyingine tena tumekusogezea wimbo wa kuabudu uitwao Wastahili Sifa kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili nchini Tanzania Goodluck Gozbert na hapa akiwa na kundi la kundi la kusifu na kuabudu ”The Sauti Light Worshippers”, wimbo ukiwa umefanyika ndani ya studio ya Mpo Africa.

Kwa moyo mkunjufu kabisa tunakukaribisha uweze kusikiliza na kupakua wimbo huu na hakika utabarikiwa. Karibu!!

Download Audio

Simu/WhatsApp: +255 655 212 720 au +255 654 276 560​⁠​
Facebook: Goodluck Gozbert
Instagram: @goodluckgozbert
Youtube: Goodluck Gozbert
Twitter: @goodluckgozbert
Tovuti: www.goodluckgozbertministry.com

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Download Audio Music: Wagala Shungu - Kabla

Next post

Bahati Simwiche Kuweka Wakfu Albamu Yake Mpya Tarehe 8 Oct. 2017 C.A.G Gongo la Mboto.