Music

Download Audio: Godwin Praize Feat Rose – Power of Prayer(Barua Kwa Baba)

Rapa wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Godwin Praize leo kupitia blog yako pendwa anakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo wake mpya uitwao Power of Prayer(Barua Kwa Baba) akiwa amemshirikisha mwanadada Rose, huu ukiwa ni wimbo wake wa tatu kwa mwaka 2017 uliotengenezwa ndani ya studio za AJ Records ikishirikiana na GIA Music kutoka dodoma.

Akizungumza na gospomedia Godwin Praize amesema kuwa wimbo huu ni kwaajili ya kumpongeza raisi wa nchi hii Mh.John Pombe Magufuli kwakuwa mstari wa mbele katika kuwapigania watanzania katika mambo mbalimbali ambayo hakika yalikuwa ni mzigo mkubwa kwa wananchi hasa wa hali ya kati na chini hivyo kupitia wimbo huu Godwin Praize ameonyesha kupendezwa na jitihada za raisi na kuamua kumuandikia ujumbe kupitia wimbo huu na kusisitiza watu wote kumuombea raisi wetu aweze kuwa imara katika kusimamia maslahi ya nchi na watu wake wote bila kujali dini, kabila, wenye nacho na wasiokuwa nacho(wanyonge).

Kupitia blog yako pendwa ya gospomedia.com tunakupa nafasi ya kusikiliza na kupakua wimbo huu na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na Godwin Praize wasiliana naye kupitia:
Simu namba/WhatsApp: +255 678 392 954/+255 682 973 911
Facebook: godwin praize
Instagram: @godwinpraize
Twitter: godwin praize
Email: msingidahbaby@gmail.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram > @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Emmanuel Kiwanga Aweka Historia ya Uzinduzi Jijini Dar es salaam July 30.

Next post

Download Audio: Dorcas Japhet - Nakupa Moyo