Audio

Download Audio: Frank Mjuni – Ainuliwe

Muimbaji Frank Mjuni kutoka jijini mbeya leo anakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo wake mpya uitwao Ainuliwe ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Radio Sauti ya injili chini ya usimamizi wa mikono ya producer Rumisha kutoka mjini Moshi.

Kwa moyo mkunjufu gospomedia.com inakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu kutoka kwa muimbaji Frank Mjuni na hakika utabarikiwa. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Frank Mjuni kupitia:
Simu: +255 757 646 037
Facebook: Frank Mjuni
Facebook page: FRANK MJUNI
Instagram: @frank Mjuni
Youtube: Frank Mjuni
Twitter: @frankmjuni

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Audio: Ester Mulokozi - Uachiapo Baraka

Next post

Download Audio: Sandra Curtis - I am Saved